1
MWENYEZI MUNGU ANAKUPENDA, NAYE ANATAKA KUKUPANGIA MPANGO WA AJABU KWA MAISHA YAKO.

Mungu ni Upendo

"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele."
(Yohana 3:16)

MPANGO WA MUNGU

"(Kristo anasema)Mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele" (ili iwe ya maana)."
(Yohana 10:10)

Je, kwa nini watu wengi hawana uzima huo tele maishani? Ni kwa sababu