Kutosheka

Ni maneno gani waweza kutumia na kueleza kukua kwako kwa maish ya Kikristo?

Kukua/Kuchanganyikiwa
Kuudhi/Kutosheka
Kusamehewa/Kutokua/ Kujikaza
Kufurahia/ Kushindwa/Kuchangamka
juu na chini/ tupu
Kukata tamaa/ Kikazi
Uhusiano/ duni
Uchungu/mzugumo/ kuwa na koza
Muhimu/ hivi hivi/ mengine